Uchambuzi wa Kitaalamu Kuhusu Shambulio la Father Kitima, CHADEMA wanahusika 100%.

Kilichomkuta Padre Kitima ni sawa na kilichomkuta Lissu, muendelezo wa Propaganda chafu za Chadema.
Sisi kama chama Tawala tupo kwenye haraka since 1930s, hadi leo tunaitwa CCM, means tunayajua mengi sana ambayo vyama vingine vinajifunza leo.
Iko hivi, baada ya tukio la Father Kitima kushambuliwa tu, viongozi takribani wote wa Chadema walikimbilia mtandaoni kujifanya kuonesha kwamba, wanaishukuru serikali kufanya kitendo hicho.
Why mkimbilie mtandaoni kulaani kwa pamoja wakati hamna uhakika wala kujua ni nani amemfanyia Father Kitima tukio hilo, tena hata kabla ya jeshi la polisi kutoa ripoti ya uchunguzi wake juu ya tukio hilo.
Chadema wanachofanya hapa ni kutaka kuchonganisha wananchi na serikali, wanadhani kwamba ni rahisi sana lakini napo kwa hili, wameangukia pua big time, why, kwa sababu tunaijua michezo yao michafu.
Walitaka kumuuliza Zitto Kambwe wakashindwa, na walitaka kumuua wakati ambao ZZK ni wamoto kwelikweli ili hata akiuawa, waseme ni serikali lakini sema Zitto naye aliaga kwao wakashindwa kumuua.
2017 walitaka kumtoa Uhai Lissu, Lissu by this time alitoa kumwaga cheche nyingi sana Bungeni akiahidi kuweka hadharani mikataba ya madini, chadema walituma wakati huu huu kumfanyia unyama Lissu walijua kwamba, Lawama zote zitaangukia kwa serikali ya JPM.
Kwa Father Kitima, wanajua kwamba Father Kitima ni mtu ambaye ana haiba ya ubishi ubishi mwingi, hivyo, wanajua wakimtia adabu huyu, basi macho yote ya Watanzania na wakatoliki wote yataigeukia serikali ya Rais Samia Suluhu.
Mpango wao uko hivi, wamshambulie Father Kitima kisha wote kwa kutumia accounts za viongozi wao na bots zao, wapost hiyo habari kwa haraka sana kujifanya kusikitishwa kwa kitendo hicho ili kuoneza uzushi wa taarifa hiyo kwa haraka.
Upumbavu mnaofanya Chadema kuvamia viongozi wa dini kwa uchu wa madaraka ndio maana mnazidi kulaaniwa hadi leo hamna cha maana ambacho mmewahi kufanikiwa.
Muende Mkatubu kabla laana ya Mwana wa Mungu aliyehai kuwashukia.